Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,097
Sawa mkuu ngoja nijaribu...Tafuta hawa watu wakupe mbinu. Saint Ivuga Daby wako vizuri kwenye mbinu hao watu
Naweza nikajikuta naokota embe chini ya mnazi....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu ngoja nijaribu...Tafuta hawa watu wakupe mbinu. Saint Ivuga Daby wako vizuri kwenye mbinu hao watu
Sawa mkuu ila ukumbuke kuleta mrejeshoSawa mkuu ngoja nijaribu...
Naweza nikajikuta naokota embe chini ya mnazi....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mii single with exoerience[emoji40]"Single but not alone"
Asante mkuu, nitaleta mubasharaSawa mkuu ila ukumbuke kuleta mrejesho
Mmmhh joshely mtoto wadarisalamaa che hiiii mamahh!Akuuh
we usingle unautaka mwenyewe kwa kwelimimi nipo single jamani.
Can you be my number one ?Hata sjakuelewa na Ww hujanielewa poooh
Wanaume mna tabu vitu vidogo hivyo vinawachanganya khaaaaMuda mwingine nyinyi wenyewe mnajichanganya sana tena hapahapa, sisi men malanyingi tunapenda mwonekano na maneno matam basiiii.. mala hooo mimi najua kupika, mala hoo mme wangu hatojutia kuwa namimi n.k..kwa maneno yenu hayo lazma mme wamtu hakudanganye tu!!!
Yaaaaaan hapo ndio unazidi kunisimumua kwa speed ya 4g[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
kumbeee [emoji12] [emoji12]Mi pia nipo single