JamiiForums kila mtu yupo single

JamiiForums kila mtu yupo single

Habari za weekend
Jaman hebu tupunguze uongo kila mtu anasema yupo single Hana mpenzi.

Wengine mnaishi na wake na waume zenu lakin kutwa kujisifia na kulalamika nimeachwa na mpenzi wangu.

Alafu tabia ya wanaume mliooa kuwa na wivu wakati wa kutongoza mnaitoa wapi eehh hampendi Wadada tuwe na wapenzi kwanini lakin mnakuwa hivyo alafu cha ajabu hata nikikubalia hutanioa muache hiyo tabia.

Wengine kila week anatafuta mchumba love connect mnabana nafasi inaonesha una gundu kuanzia mtaani mpaka huku Jamiiforum mjirekebishe .

Na nyie mnaokataliwa pm kuleta hasira kwenye comment jiandaeni Kwa block tu hamna namna.

Jamanii hakuna mtu anaweza kuwa single La sivyo ni mwanachama wa CHAPUTA.
Idiot
 
Back
Top Bottom