Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,849
- 2,739
Aisee..nipo kwako huku juu nakusubiri...au niswim kidogo wakati nasubiri urudi😉
:wacko::A S-eek::A S-eek::sleepy::sleepy:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee..nipo kwako huku juu nakusubiri...au niswim kidogo wakati nasubiri urudi😉
Well said, tutaabishwe na erikali, ada za watoto hakuna, kodi za nyumba juu, barabara foleni tupu, maji hakuna, yaliyopo ni ya chumvi, kigodoro kimepigwa marufuku, bia bei juu, ajira hakuna, katiba mbaya, Wapenzi wetu nao siku hizzi kila mtu yuko kimkakati zaid!! Ngoja tufurahie maisha ya JF aiseee, huwezi jua kuna watu saa hizi wanapost huku wanalia (wanajifariji tu).....kitanda Muhimbili buku tano, kulala tu na Dokta ajakuona bado, na sio ajabu akija akufanyie oparesheni ya kichwa badala ya mguu. Tapu tupu
kwahiyo jf ni marekan ndogoUmaarufu jf,wasomi jf,wao na vikao na watu wakubwa tu, yaan ni shidaaa humuu
kwahiyo jf ni marekan ndogo
:wacko::A S-eek::A S-eek::sleepy::sleepy:
Leo nipo Kishiri shambani nakusubiri .....
Nikitoka hapa nakwenda Mhandu nyumbani ....!!
Aaaah...shambani unafanya nini huko??ulitakiwa uwe Ryan's bay unapata lunch mida hii
Umaarufu jf,wasomi jf,wao na vikao na watu wakubwa tu, yaan ni shidaaa humuu
maisha bila unafki hayaendi
Baby unafiki waachie watoto..weye haukupendezi
Hihihi...umaarufuuuu..watu tunapata tuzo humu Dina..utuwacheee🙄🙄
thatha nithemeje?
Twende ukasafishe nyota...bibie.....ushawahi kunywa chai Hollywood....???
Umenikumbusha kitu pale Ryan's bay looo kuna tujitu ukila tunawashaaajeeee
Jf kila mtu baby, sweet mwishi fb
Baby punguza presha..siwezi kuchepuka ati
Hhhhhhhhaaaaaaa,na ambao sio maarufu tumejiunga majuzi mtupe tuzo ya kutokua maarufu
Hahahaha..hulipwi humu shoga angu...labda kama unataka kujitolea kuwa maarufu bila malipo nikuelekeze wanapotoa awards..unaweza shinda ujue
Jf kila mtu baby, sweet mwishi fb