Jamiiforums kuna matajiri tupu

Jamiiforums kuna matajiri tupu

Well said, tutaabishwe na erikali, ada za watoto hakuna, kodi za nyumba juu, barabara foleni tupu, maji hakuna, yaliyopo ni ya chumvi, kigodoro kimepigwa marufuku, bia bei juu, ajira hakuna, katiba mbaya, Wapenzi wetu nao siku hizzi kila mtu yuko kimkakati zaid!! Ngoja tufurahie maisha ya JF aiseee, huwezi jua kuna watu saa hizi wanapost huku wanalia (wanajifariji tu).....kitanda Muhimbili buku tano, kulala tu na Dokta ajakuona bado, na sio ajabu akija akufanyie oparesheni ya kichwa badala ya mguu. Tapu tupu

Umeona eeeh!!! Wacha tufurahie maisha tupunguze stress
 
Leo nipo Kishiri shambani nakusubiri .....

Nikitoka hapa nakwenda Mhandu nyumbani ....!!

Aaaah...shambani unafanya nini huko??ulitakiwa uwe Ryan's bay unapata lunch mida hii
 
Umenikumbusha kitu pale Ryan's bay looo kuna tujitu ukila tunawashaaajeeee

Tunini uto nikatushangaeee,si unajua ushamba mzigoo....malaika pia kuna menu ilinishindaa...uwiiii mengine yatupite tu
 
Hhhhhhhhaaaaaaa,na ambao sio maarufu tumejiunga majuzi mtupe tuzo ya kutokua maarufu

Hahahaha..hulipwi humu shoga angu...labda kama unataka kujitolea kuwa maarufu bila malipo nikuelekeze wanapotoa awards..unaweza shinda ujue
 
Hahahaha..hulipwi humu shoga angu...labda kama unataka kujitolea kuwa maarufu bila malipo nikuelekeze wanapotoa awards..unaweza shinda ujue

Siwez shinda aiseeeee bora niwaachie nyie
 
Back
Top Bottom