brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,287
yaani ndiyo narudishiwa mlango wa Muhimbili hapa baana ya kuiona hii post
Hahahaha..sitaki nikukose ati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani ndiyo narudishiwa mlango wa Muhimbili hapa baana ya kuiona hii post
Tunini uto nikatushangaeee,si unajua ushamba mzigoo....malaika pia kuna menu ilinishindaa...uwiiii mengine yatupite tu
Wewe huna baby humu?
Ninae ni baby kweliii ukimuona utamganda acha tuuu
Hahahaha hebu ninong'oneze ila sitamganda......lol
Heeee sema wako kwanzaaaa
Hahahaha wangu mbona anajulikana jamani.Muulize mtu yoyote atakwambia
Basi yaisheeee teh tehhhhhh
Yakaishie pm kwa usalama wako.....lol
Aaaah...shambani unafanya nini huko??ulitakiwa uwe Ryan's bay unapata lunch mida hii
Tatizo unachukulia kila jambo humu sooo serious utaumia Buree...
Hahahahahaha hii thread imenichekesha hadi watu nilio panda nao tren ya umeme kutoka Los Angel kwenda New York wote wamenishangaa nacheka nini!
Unajua New York nimenunua Apartment kwa hiyo naenda kuingalia!
Lakini kilicho nishangaza kwenye hii treni ni usumbufu wa wahudumu maana kila muda Mara wamekuuliza utakunywa nini? Ukiwambia chai wanakupa na baga na ukiwambia Soda wanakuletea cret zima! Kwakweli ni wasumbufu sana!
Hapa nilipo wametoka kuniuliza ninataka kusoma nini muda huu nikawambia wanipe Kitabu cha Think Big cha Ben Carson au Gazeti La New York Times...kwakweli huku hakuna Uwazi wala Risasi!
Daaa kwakweli ni usumbufu mtupu halafu nimegundua kabisa kila Muhudumu humu ana Masters ya Customer care and economics!
Kwakweli wana Jf nimejuta kupanda hii treni lakini ni uzembe wangu wa kuchelewa flyt baada ya kutumia muda mwingi kujiandikisha masomo ya PhD kwenye chuo kimoja maarufu duniani kilichopo huku Marekani!
Ngoja nishuke naona treni imekaribia na kuna Profesa mmoja ananisubiri anataka nimsaidie kuandika Thesis!
Cc wakishua Evelyn Salt! brenda18 Dina Khantwe
Huku kwenye mitandao mtu akijua kulog in tayari ni tajiri.
Kwanini usepe mkuu,nimeishasema wewe unafaa,maana una uwezo wa kujilipia chumba na una usafiri wa baiskelikwa hiyo nisisepe mkuu,maana nishaingiza upepo.....
hahaaaaa umenikumbusha hiko kitabu kiko poa mkuu ben ni kichwaaaaa
Nalima mahindi ....
Huko Ryan's bay ndio wapi?
Kizuri sana kuna kingine kinaitwa Gifted hands nacho kiko poa!
Nani anaelimu ya vidudu humu....!?