Jamiiforums kuna matajiri tupu

Jamiiforums kuna matajiri tupu

Tunini uto nikatushangaeee,si unajua ushamba mzigoo....malaika pia kuna menu ilinishindaa...uwiiii mengine yatupite tu

Yaan tumekaa kama biscuit yaan ni kichombeza mezaa kama hotel zingine kuwekewa karanga au bisi,kila unavyozidi kutula pilipili inazidi loooo,nilienda malaika kikaletwa chakula sijui kinaitwa et kuku imesagwa kilinishindaa hata mieee,nikaona nijiagizie koni tu
 
Tatizo unachukulia kila jambo humu sooo serious utaumia Buree...
Hahahahahaha hii thread imenichekesha hadi watu nilio panda nao tren ya umeme kutoka Los Angel kwenda New York wote wamenishangaa nacheka nini!
Unajua New York nimenunua Apartment kwa hiyo naenda kuingalia!

Lakini kilicho nishangaza kwenye hii treni ni usumbufu wa wahudumu maana kila muda Mara wamekuuliza utakunywa nini? Ukiwambia chai wanakupa na baga na ukiwambia Soda wanakuletea cret zima! Kwakweli ni wasumbufu sana!

Hapa nilipo wametoka kuniuliza ninataka kusoma nini muda huu nikawambia wanipe Kitabu cha Think Big cha Ben Carson au Gazeti La New York Times...kwakweli huku hakuna Uwazi wala Risasi!

Daaa kwakweli ni usumbufu mtupu halafu nimegundua kabisa kila Muhudumu humu ana Masters ya Customer care and economics!

Kwakweli wana Jf nimejuta kupanda hii treni lakini ni uzembe wangu wa kuchelewa flyt baada ya kutumia muda mwingi kujiandikisha masomo ya PhD kwenye chuo kimoja maarufu duniani kilichopo huku Marekani!

Ngoja nishuke naona treni imekaribia na kuna Profesa mmoja ananisubiri anataka nimsaidie kuandika Thesis!

Cc wakishua Evelyn Salt! brenda18 Dina Khantwe
 
Last edited by a moderator:
hahaha..yan ukitaka kuamini chai za humu mbona waweza panic kwa presha kumbe hamna lolote kawaida sana
 
hahaaaaa umenikumbusha hiko kitabu kiko poa mkuu ben ni kichwaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Huku kwenye mitandao mtu akijua kulog in tayari ni tajiri.

Kwa ukweli hii Forum ni nzuri sana kwani inacut-across hali zote , age zote, jinsia zote mbili n.k which is very good. Japo kuna factors ambazo unaweza ukaziangalia maana sijui kama mitandao ni bure hivyo kuaccess tu mtandao ni factor inayoweza kukujulisha hali ya mtu kwa kiasi fulani. Lakini uzuri ni kwamba Jamii Forum ni ya wote na ukiitumia vizuri unafaidika, kijamii ( kwani mimi nimejifunza meengi mno humu, nimepata faraja kwa comments mbalimbali ), kiuchumi ( mh sijatumia vizuri sana fursa hii), matangazo ( nimeshanunua bidhaa kupitia matangazo humu). Basi hali ya mtu haijalishi ni kujitahidi tu kutumia fursa. Na wakati mwingine changamoto ni muhimu kwenye maisha mtu akisema ana kitu fulani basi kama huna na unakitaka unaichukua changamoto hiyo kuifanyia kazi na si kukata tamaa. The good thing is mtu unaweza kuibuka wakati wowote na umri wowote ni kuchunguza fursa na kuzitumia!
 
Back
Top Bottom