Jamiiforums kuna matajiri tupu

Jamiiforums kuna matajiri tupu

Kwakweli huwa nacheka sana maana thread za huku ndani inaonekana kila mtu mambo safi, anadrive, ananyumba, ofisi safi, anaenda nje mara kwa mara, je sisi tuliopanga na tuna baiskeli tu

Tuendelee kulogging in au tusepe, maana ukitafakari ni zaidi ya uswiss na marekani.

Waongo tu, humu wengi matapeli na wanaharakati tu ndio maana kutwa kucha wanapost tu.
 
hahaha ukajibuje sasa au na safari ikaishia hapo

Nilimjibu hivi Napanda daladala,gari sina.Nilienda nikaonana naye ye alikuwa na gari,alimake assumptions kila mtu ana gari.Ila alikuwa na kilio kimoja ambacho mie ninacho lakini ye hana na kukipata ye ni ngumu.
 
Kuna rafiki yake Khantwe, yule comrade ni noumer..!
ana bills za zaidi ya 1m kila siku...hahahaha!
 
Last edited by a moderator:
Halafu shoga angu ujue nime misplace laki tano yangu ya breakfast...kama vipi nipitie na ile range yako unipeleke stanbic nikatoe hata kamilioni kanisogeze....

Range yangu imeharibika,nakupitia na Helkopta hapo
 
mbona wa kwetu pakavu pia tupo na tumejikubali tuu?

tutafanyaje sasa
 
Nilimjibu hivi Napanda daladala,gari sina.Nilienda nikaonana naye ye alikuwa na gari,alimake assumptions kila mtu ana gari.Ila alikuwa na kilio kimoja ambacho mie ninacho lakini ye hana na kukipata ye ni ngumu.

kipi hicho hebu malizia kyumana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom