JamiiForums Legends of ALL Time

Kuna hii mtu ilisumbua sana kipindi fulani humu JF.......ningekuwa admin ningemrudisha..... Malaria Sugu
Hahaaaa...Huyu Malaria Sugu alikuwa ni shida...

Mimi hakuna watu nimesumbuana nao kama Mzee wa Sauti ya Umeme...FMES na Kuhani/Dilunga...

Mpaka inafika hapa JF imepitiwa na vichwa vingi sana..Kumekuwepo na kila aina ya watu...Mabrazameni..Wachungaji/Baba Parokozz...Wajomba..Wajuvi....nk
 
Dah....ile JF ya zamani ilikuwa safi sana....!!!
 

Witnessj
 

Kabisa!

Ila kuna baadhi ya hao ma legend waliotajwa ni wa juzi juzi tu hapa [at least IDs zao ndo zinavyoonyesha].

Mtu ID inaonyesha kajiunga 2013, 14, na 15 lakini tayari eti keshakuwa legend!

Anyway, ni chit-chat tu. Lakini kweli kabisa orodha ya legends na veterans wa TEF baadaye JamboForums na sasa JamiiForums ikiandikwa, orodha hiyo haitokuwa kamili endapo baadhi ya watu hawatakuwemo.

Mfano, Yournameismine atakosekanaje? Mkandara atakosekanaje? Tafiti Then Jadili anakosekana vipi? KadaMpinzani anakosekanaje? Shwari hawezi kosekana. Hata Jasusi pia.

Inaugural class ya 2006 ikikosekana karibu yote basi hiyo orodha itakuwa na mapungufu mengi sana.
 
Ila alikuwa mbishi sana...Hasa akikutana na NN au Bluray

Hata sasa yupo....fuatilia mwandiko wa ajiitaye Bu’yaka au Tindikali hahahaaaa

Ila siku hizi sijui hadi aweke bando la kutosha ndo aingie JF atafute dosari ktk ulichokiandika halafu huyo anapotea tena.

Na ikitokea umemjibu mwenzio atachukua mwezi mzima kuja kukujibu ilhali wewe ushasahau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…