Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa...Huyu Malaria Sugu alikuwa ni shida...Kuna hii mtu ilisumbua sana kipindi fulani humu JF.......ningekuwa admin ningemrudisha..... Malaria Sugu
Dah....ile JF ya zamani ilikuwa safi sana....!!!Hahaaaa...Huyu Malaria Sugu alikuwa ni shida...
Mimi hakuna watu nimesumbuana nao kama Mzee wa Sauti ya Umeme...FMES na Kuhani/Dilunga...
Mpaka inafika hapa JF imepitiwa na vichwa vingi sana..Kumekuwepo na kila aina ya watu...Mabrazameni..Wachungaji/Baba Parokozz...Wajomba..Wajuvi....nk
Kuhani/Dilunga...
Dah kweli Ma Legendary wa kitambo
Wadada
Lizzy
Preta
AshaDii
Kongosho
Mwali
Beauty
Mrembo
Russian Roulette
Faiza Foxy
Afrodenzi
Wanaume
Kloroquin
Aspirin
Bujibuji
BAK
Finest
Mzee Mwanakijiji
Mushi
Na wengineo, mmenikumbusha ile JF ya enzi hizo ukisoma thread au post ya Kongosho lazima ucheke
Ila alikuwa mbishi sana...Hasa akikutana na NN au BlurayHuyo Dilunga alikuwa anachambua vitu kitaalamu kweli.
Niko Mwanza.wewe!! Halafu unanidai...uko?
Ila alikuwa mbishi sana...Hasa akikutana na NN au Bluray
Hahaaaa...Huyu Malaria Sugu alikuwa ni shida...
Mimi hakuna watu nimesumbuana nao kama Mzee wa Sauti ya Umeme...FMES na Kuhani/Dilunga...
Mpaka inafika hapa JF imepitiwa na vichwa vingi sana..Kumekuwepo na kila aina ya watu...Mabrazameni..Wachungaji/Baba Parokozz...Wajomba..Wajuvi....nk
Ila alikuwa mbishi sana...Hasa akikutana na NN au Bluray
Huyu alitumuliwa.....CCM walimnunua huyu ModBuchanan,(ex moderator)