JamiiForums Legends of ALL Time

Kama unawafahamu hawa...hakika Daby hata wewe Legendary!!

Kama umejiunga baada ya 2007 hustahili kuitwa legendary.
 
......kweli kabisa mzee mwenzangu, miaka 10 JF si mchezo, kama Nyani mzee....tumeyaona mengi.

Shukran sana kwa kutukumbuka.
[emoji3][emoji1417]
Asante Mshika bunduki mwenzangu...

Wewe ndiye muasisi wa thread nyingi za timu za EPL na La Liga...

Kuna watu kama Game Theory, Peasant , mfuasi wa Ronaldinho Gang Chomba, Manda, Icadon, Masanilo, Baba Mkubwa na wengine wamepotea kabisa Jukwaa letu pendwa la michezo..
 
Mimi nilibadili jina mwenyewe from......to RRONDO
Sio kwamba uliwaomba Mods wabadili jina?...

Maana mimi nilishindwa kubadili Id yangu ya mwaka 2006 ikabidi nifungue mpya mwaka 2008...

Haikuwezekana mtu kubadili jina...Ni mpaka uwafuate Invisible, Silencer, Pain Killer, Paw , Max au yule mod mwanadada
 
Labda niliwaomba sikumbuki...ila ukirudi nyuma kuna posts zangu zina hilo jina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…