RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Wewe mwenyewe umepotea....Arsenal wamebaki vijana wapya tu wakongwe wote mmekimbia. Imagine Wacha rubaman inapita miezi hawajachangia chochote kuhusu Arsenal.Asante Mshika bunduki mwenzangu...
Wewe ndiye muasisi wa thread nyingi za timu za EPL na La Liga...
Kuna watu kama Game Theory, Peasant , mfuasi wa Ronaldinho Gang Chomba, Manda, Icadon, Masanilo, Baba Mkubwa na wengine wamepotea kabisa Jukwaa letu pendwa la michezo..