Wewe mwenyewe umepotea....Arsenal wamebaki vijana wapya tu wakongwe wote mmekimbia. Imagine Wacha rubaman inapita miezi hawajachangia chochote kuhusu Arsenal.Asante Mshika bunduki mwenzangu...
Wewe ndiye muasisi wa thread nyingi za timu za EPL na La Liga...
Kuna watu kama Game Theory, Peasant , mfuasi wa Ronaldinho Gang Chomba, Manda, Icadon, Masanilo, Baba Mkubwa na wengine wamepotea kabisa Jukwaa letu pendwa la michezo..
Huyu bi mkubwa sijui alipotelea wapi mtani wangu...popote ulipo umekumbukwa
Mtani mwingine huyu kila post yake hutanua mbavu...
Huyu mdau alipata ajali wakati fulani, sijui hata yu hali gani kwa sasa...
ASANTE KWA KUNIPA HESHIMA KUBWA NAMNA HII. BE BLESSED
Konnie herself and otherselves of her....Kongosho
Mich....@ciello... Huyu aliweka wazi ID yake ngeni ila nimeisahau kidogo...
Flora Msofe legendary mwingine
Alikuwa na maneno mbofu mbofu huyu raia...
Jamaa alikamata jukwaa na ile 'love story' yake amaizing...nadhani atakuwa alipata wachuchu wa kutosha wa 'kumfariji'
HahahWee!! Koma..mimi simjui Tedo
Arabela sijui kapotelea wapi...
Wafukunyuku wa Jeiefu...Kuna wengine hawakuwa humu lakini wafatiliaji wakubwa wa JF hawa sijui mnawaitaje ?
Daah...huyu mangi naye sijui yupo wapi!!!
We shemkwe wewe ndio nini kupotea hivyo...ujue mimi na wewe hatujakutana barabarani!!!