Nipo sana, natekeleza ilani ya uti wa mgongo wa nchi yetu kule Njombe/MufindiKumbe raia mpo ila mmepiga kimya tu...
Sema ulifungua account nyingineMimi nilibadili jina mwenyewe from......to RRONDO
Mkuu Mbu kanitilia like! Heshima yako Mkuu. Nafasi ikiruhusu pita humu japo mara moja moja utumegee hekima na busara zako.
Haya.Sema ulifungua account nyingine
Hivi yuko wapi huyu jamaa?
Mnakumbuka Shindano maarufu la Miss Chit Chat.....
Lilikuwa linarndeshwa na nani...daah...yule jamaa alikuwa anajiita....nisaidieni..
Kampeni zilikuwa zinapigwa jukwaa kwa jukwaa...watu wanajinadi balaa...
.......asante kaka. Kiukweli, huwa napitia angalau mara moja kwa siku, ila dahhh....Spidi ya 4G nashindwa kwenda nayo,....[emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi, Mchagga wangu wa Tanga kabadili jina nini? Namkumbukia kwa jina la MwanajamiiOne,.....Babu yake,...mzee @Aspirin namuona yupo gado.
BelindaJacob nae?,....
Tupo pamoja mkuu,
JF Daima.

Nyie Wasukuma... yaani Live kabisa. Heri hata mngeliandika " ... Nalikuchora Vava, Kiyumbo vava"Ati nikufanye nini? 😀😀
Jana na leo!!
Hivi huyu si ndo Alberto ?