JamiiForums Legends of ALL Time

JamiiForums Legends of ALL Time

Mkuu Mbu kanitilia like! Heshima yako Mkuu. Nafasi ikiruhusu pita humu japo mara moja moja utumegee hekima na busara zako.

.......asante kaka. Kiukweli, huwa napitia angalau mara moja kwa siku, ila dahhh....Spidi ya 4G nashindwa kwenda nayo,....[emoji23][emoji23][emoji23]

Vipi, Mchagga wangu wa Tanga kabadili jina nini? Namkumbukia kwa jina la MwanajamiiOne,.....Babu yake,...mzee @Aspirin namuona yupo gado.

BelindaJacob nae?,....

Tupo pamoja mkuu,
JF Daima.
 
Salama mkubwa?
Ningekata rufaa usingekuwepo hapa..

.......asante kaka. Kiukweli, huwa napitia angalau mara moja kwa siku, ila dahhh....Spidi ya 4G nashindwa kwenda nayo,....[emoji23][emoji23][emoji23]

Vipi, Mchagga wangu wa Tanga kabadili jina nini? Namkumbukia kwa jina la MwanajamiiOne,.....Babu yake,...mzee @Aspirin namuona yupo gado.

BelindaJacob nae?,....

Tupo pamoja mkuu,
JF Daima.
 
Mchagga yupo ila hii ID alisahau pw sasa hivi nadhani anatumia mwanajamii1 ila sina uhakika. BelindaJacob naye sijamuona siku nyingi sana. Pia nimemkumbuka na everlenk. Babu bado yupo kajaa tele Mkuu.

Back
Top Bottom