JamiiForums Legends of ALL Time

Duu... Snwowhite za miaka tele?
Kitambo tumepotezana. Nipo sana.
Nimebaki kuchungulia tu JF na kuondoka.
Mambo ni vipi lakini Mtani?
Ni furaha kukuona upo bado hapa.
mimi pia dear!
nipo asee!
ni jambo jema sana kukutana tena bada ya miaka kupita angalau kujua watu uliokutana nao humu wako okey!
 
Yalikuwa mwake sana aise
Mzima lakini dear
Tunashukuru kukuona tena humu
kwa kweli!mimi pia!
Mwanza wazima?
among the people mlikuwa vere serious mkiongea habari za mahusiano na ndoa!
UJUZI NA MAARIFA YATAKUWA YAMEONGEZEKA SANA NOW!
bravo buddy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…