Daah!!! Nanyenyekea kukumbukwa na wewe,nimekuhamu zaidi..Mchagga yupo ila hii ID alisahau pw sasa hivi nadhani anatumia mwanajamii1 ila sina uhakika. BelindaJacob naye sijamuona siku nyingi sana. Pia nimemkumbuka na everlenk. Babu bado yupo kajaa tele Mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwasababu mnawataja legends na wengi ni 2012 kurudi nyuma sioni sababu ya kutomtaja huyu bwana ambae ni Verified user wa mwaka 2012.
Deogratius Kisandu
Huyu bwana Deogratius Nalimi kisandu....aka Kitukuu cha kisandu aka Masqo sijuii
Una mambo wewe.Huyu alinifanya nifumaniwe bila adabu.
Sijui alifiaga wapi