platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Marehemu sasaDeni Ansi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehemu sasaDeni Ansi
Aisee alazwe mahali pema peponi kama ametangulia mbele ya hakiMarehemu sasa
Huyu dada ni mojawapo ya wanaJF walioni insipaya kusoma vitabu, yeye na Kiranga Cha Ngeda Sakala wa Kandumbwa, Next time we meet, I will buy them a drink!Roulette
Yeah, moja ya member wenye busara kabisa, ila hadi leo sijaweza kuitamka hiyo jina.
Hello MJ.
Am here, Legend Karucee.Hello MJ.
Happy New Year to you, and yours.Am here, Legend Karucee.
Nawasalimu wakuu...
Nafurahi sana kuiona Jf ikikua na members kuongozeka sana!! Nimetumia muda mrefu kidogo kusoma kinachoandikwa hapa jukwaani kwa sasa nikifananisha na tulikotoka...
Naona sasa hivi kuna vitu hata watu ambao havi/hawaendani kabisa.
Nakubaliana na mabadiliko kabisa kabisa...
Kama ilivyo kwenye nyanja nyingine mfano soka, kikapu hata mchezo wa pete(netball)
Watu wana wika na ku potea lakini bado kuna namna ambavyo ubora wao hausahauliki...
Bila chuki, wala hiyana kuna watu ni ma legendary hapa, wengine bado wapo, wengine hawapo au wamebadili ID zao ili kuendana na wakati uliopo...
Sasa nitatumia uzi huu kutambua hawa watu.
Kwa Lugha Nyepesi nitawaita JF Legendaries of All Time.
Unaewika sasa hivi usijali sana utakuwa Legend wa baadae...
Si vibaya na wewe ukawatambua kwa kuwataja Malegendari wachache...
Mnakumbuka JF wings!! Arusha Wing, Mwanza Wing, Dar es Salaam Wing?
Naanza sasa na kwa heshima kila mmoja tumpe comment ya pekee.