JamiiForums Legends of ALL Time

JamiiForums Legends of ALL Time

Wewe mwenyewe umepotea....Arsenal wamebaki vijana wapya tu wakongwe wote mmekimbia. Imagine Wacha rubaman inapita miezi hawajachangia chochote kuhusu Arsenal.
Tupo katika mikakati ya kutafuta pesa nyiiiingi kupambana na Manchester City wanaonunua mabeki kwa bei ya mastriker
 
Namshukuru Mola hayo mawing sikujiunga nayo


Ndio maana ninaburudika nitakavyo humu JF..
Wengi walisukumana kujuana wapo kimya hata waliokaribisha wadau wa humu kwenye misiba n.k. waliishia au wanaishia kuwa kimya humu na wengi lazima wanafungua ID mpya ili watanue vizuri

Naamini ina madhara sana..
 
Nawasalimu wakuu...
Nafurahi sana kuiona Jf ikikua na members kuongozeka sana!! Nimetumia muda mrefu kidogo kusoma kinachoandikwa hapa jukwaani kwa sasa nikifananisha na tulikotoka...

Naona sasa hivi kuna vitu hata watu ambao havi/hawaendani kabisa.

Nakubaliana na mabadiliko kabisa kabisa...
Kama ilivyo kwenye nyanja nyingine mfano soka, kikapu hata mchezo wa pete(netball)
Watu wana wika na ku potea lakini bado kuna namna ambavyo ubora wao hausahauliki...

Bila chuki, wala hiyana kuna watu ni ma legendary hapa, wengine bado wapo, wengine hawapo au wamebadili ID zao ili kuendana na wakati uliopo...

Sasa nitatumia uzi huu kutambua hawa watu.
Kwa Lugha Nyepesi nitawaita JF Legendaries of All Time.
Unaewika sasa hivi usijali sana utakuwa Legend wa baadae...

Si vibaya na wewe ukawatambua kwa kuwataja Malegendari wachache...
Mnakumbuka JF wings!! Arusha Wing, Mwanza Wing, Dar es Salaam Wing?

Naanza sasa na kwa heshima kila mmoja tumpe comment ya pekee.

@Sansharie......
 
Back
Top Bottom