hapa kuna nini hommie?
Daah!!! Nanyenyekea kukumbukwa na wewe,nimekuhamu zaidi..
Mbona bado yupo! Na kila siku yuko active Jf
....No wonder!
Nani huyo anaulizia nywele saluni...?
Mwambie wewe kwangu ni kila kitu. Leo mke, kesho shemeji, keshokutwa mkwe, jana mchepuko, juzi mama. Mwaka kesho sijui nikuiteje...??
Kwanza nani huyo anayekuuliza na mamlaka hayo kampa nani?
Nawasabahi wakongwe nyie.
Nimekumbuka mbali kwa kweli.
Mungu ni mwema, ametuweka.
Marehemu sasaDeni Ansi