Huyu asingetajwa nisingewaelewa kabisa
abeeee
mi naogopa mbu natumia chandarua ya gunia ndio maana hatuonani
Nipo mpendwa wangu.Mzima weye? Za masiku? Umepotea sana humu. Nawe ni legend humu bila ya shaka yoyote ile.
Nipo mpendwa wangu.
Vyumaaa havitaki kulegeaa....za masikuuu
Mimi ni legendary originale...japo najua sikushindi wewe
Nakujaga kujaga sometimes km hivi. Majukumu yameongezeka muda unakuwa finyu.Naona vyuma vimekaza hata kuja numu hutaki tena. Mie niko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kusherekea vizuri Xmas, na kuaga vizuri mwaka 2017 na kuukaribisha vizuri mwaka 2018.