JamiiForums Legends of ALL Time

JamiiForums Legends of ALL Time

Naona vyuma vimekaza hata kuja numu hutaki tena. Mie niko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kusherekea vizuri Xmas, na kuaga vizuri mwaka 2017 na kuukaribisha vizuri mwaka 2018.

Nipo mpendwa wangu.
Vyumaaa havitaki kulegeaa....za masikuuu

Mimi ni legendary originale...japo najua sikushindi wewe
 
Naona vyuma vimekaza hata kuja numu hutaki tena. Mie niko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kusherekea vizuri Xmas, na kuaga vizuri mwaka 2017 na kuukaribisha vizuri mwaka 2018.
Nakujaga kujaga sometimes km hivi. Majukumu yameongezeka muda unakuwa finyu.

Heri ya mwaka mpya pia mpendwa
 
Back
Top Bottom