JamiiForums Legends of ALL Time

Al-Watan kijana wako kammisi kaka yako.
Mshawishi airudie akaunt yake
Kaka Kiranga kashikwa na binti wa Australia wapo zao wanaishi zao Indonesia huko. Trip za Bali-Perth kibao, anavuna Bitcoin kidogo kidogo kaanzisha biashara zake huko, ana flight school anakamata sana watu wa Indonesia,Australia na New Zealand anasema anachungulia mara moja moja tu hapa,yuko busy ya kufa mtu.

Halafu kaambiwa akitaka mawasiliano na familia ahakikishe haingii mtandaoni hapa kuchangia, kwa sababu kwenye vikao vya familia kuna stories mpaka za Magufuli cabinet kutoka kwa cabinet member, na yeye kwa Kiranga hachelewi kubwatuka wanayoongea humo, kaamua ku mute tu.
 
Shukrani kwa kunikumbuka nasikia ile gauni yako kubwa kubwa ya kwenye party ya kwanza ya JF siku hizi inakubana eti bata zimekubali. πŸ™‚πŸ™‚

Nipo poa kabisa..nimekukumbuka jf legend wewe
 
Shukrani kwa kunikumbuka nasikia ile gauni yako kubwa kubwa ya kwenye party ya kwanza ya JF siku hizi inakubana eti bata zimekubali. πŸ™‚πŸ™‚
Eeeh mwanangu mtaji unakua.... capital ya maana halafu saving nafanya kwenye international banks maana banks zetu ndio vile e tena
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…