Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Kaka Kiranga kashikwa na binti wa Australia wapo zao wanaishi zao Indonesia huko. Trip za Bali-Perth kibao, anavuna Bitcoin kidogo kidogo kaanzisha biashara zake huko, ana flight school anakamata sana watu wa Indonesia,Australia na New Zealand anasema anachungulia mara moja moja tu hapa,yuko busy ya kufa mtu.Al-Watan kijana wako kammisi kaka yako.
Mshawishi airudie akaunt yake
Halafu kaambiwa akitaka mawasiliano na familia ahakikishe haingii mtandaoni hapa kuchangia, kwa sababu kwenye vikao vya familia kuna stories mpaka za Magufuli cabinet kutoka kwa cabinet member, na yeye kwa Kiranga hachelewi kubwatuka wanayoongea humo, kaamua ku mute tu.