JamiiForums Legends of ALL Time

JamiiForums Legends of ALL Time

Hawa Wakuu hapa wamechangia sana kuikuza JamiiForums enzi zile wanachama hawafiki hata 150 na wengine wengi baadhi bado wapo hapa kwa IDs tofauti na wengine IDs zile zile sema michango yao humu imepungua si kama zamani.
Hongereni saana...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Duh! Umepotea sana Mkuu. Mie bado nikikumbuka lile sakata lako la kumfuata mrembo hadi mlandizi natabasamu hadi leo hii.

Nadhani legends wengi humu wakiandika vitabu vyao kuhusu uwepo wao humu vitakuwa Bestseller.

Kuna watu naona hawamjui kabisa Kloroquin ...enzi hizo na Mwali ..JF ilikuwa rahaa mno....kulikuwa na thread unacheka mwanzo mwisho
those were the days ..
 
Duh! Umepotea sana Mkuu. Mie bado nikikumbuka lile sakata lako la kumfuata mrembo hadi mlandizi natabasamu hadi leo hii.

Nadhani legends wengi humu wakiandika vitabu vyao kuhusu uwepo wao humu vitakuwa Bestseller.

Hahahaa mkuu BAK nipo aisee
majukumu tu...

Mlandizi hata mimi nikikumbuka nacheka aisee ujana maji ya moto...
 
Back
Top Bottom