Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa yupo? namkubali sana
Hongereni saana...Hawa Wakuu hapa wamechangia sana kuikuza JamiiForums enzi zile wanachama hawafiki hata 150 na wengine wengi baadhi bado wapo hapa kwa IDs tofauti na wengine IDs zile zile sema michango yao humu imepungua si kama zamani.
Kuna watu naona hawamjui kabisa Kloroquin ...enzi hizo na Mwali ..JF ilikuwa rahaa mno....kulikuwa na thread unacheka mwanzo mwisho
those were the days ..
Duh! Umepotea sana Mkuu. Mie bado nikikumbuka lile sakata lako la kumfuata mrembo hadi mlandizi natabasamu hadi leo hii.
Nadhani legends wengi humu wakiandika vitabu vyao kuhusu uwepo wao humu vitakuwa Bestseller.