Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Nimejiuliza hilo pia...Kabisa!
Ila kuna baadhi ya hao ma legend waliotajwa ni wa juzi juzi tu hapa [at least IDs zao ndo zinavyoonyesha].
Mtu ID inaonyesha kajiunga 2013, 14, na 15 lakini tayari eti keshakuwa legend!
Anyway, ni chit-chat tu. Lakini kweli kabisa orodha ya legends na veterans wa TEF baadaye JamboForums na sasa JamiiForums ikiandikwa, orodha hiyo haitokuwa kamili endapo baadhi ya watu hawatakuwemo.
Mfano, Yournameismine atakosekanaje? Mkandara atakosekanaje? Tafiti Then Jadili?
Inaugural class ya 2006 ikikosekana karibu yote basi hiyo orodha itakuwa na mapungufu mengi sana.
Wanakosekanaje watu kama Mtanzania..Kyoma..Icadon..Brazamen..Binti Maringo..Asha Abdallah..Mwafrika wa Kike..Mpaka Kieleweke...Philemon Mikael..Kuhani..Dilunga...Belo..Blueray..Dark City...FMES...Gender Sensitive/Regia Mtema(RIP)...Bubu Msema Ovyo...Ben (Saanane)...