JamiiForums Legends of ALL Time

JamiiForums Legends of ALL Time

Kabisa!

Ila kuna baadhi ya hao ma legend waliotajwa ni wa juzi juzi tu hapa [at least IDs zao ndo zinavyoonyesha].

Mtu ID inaonyesha kajiunga 2013, 14, na 15 lakini tayari eti keshakuwa legend!

Anyway, ni chit-chat tu. Lakini kweli kabisa orodha ya legends na veterans wa TEF baadaye JamboForums na sasa JamiiForums ikiandikwa, orodha hiyo haitokuwa kamili endapo baadhi ya watu hawatakuwemo.

Mfano, Yournameismine atakosekanaje? Mkandara atakosekanaje? Tafiti Then Jadili?

Inaugural class ya 2006 ikikosekana karibu yote basi hiyo orodha itakuwa na mapungufu mengi sana.
Nimejiuliza hilo pia...

Wanakosekanaje watu kama Mtanzania..Kyoma..Icadon..Brazamen..Binti Maringo..Asha Abdallah..Mwafrika wa Kike..Mpaka Kieleweke...Philemon Mikael..Kuhani..Dilunga...Belo..Blueray..Dark City...FMES...Gender Sensitive/Regia Mtema(RIP)...Bubu Msema Ovyo...Ben (Saanane)...
 
Hata sasa yupo....fuatilia mwandiko wa ajiitaye Bu’yaka au Tindikali hahahaaaa

Ila siku hizi sijui hadi aweke bando la kutosha ndo aingie JF atafute dosari ktk ulichokinda halafu huyo anapotea tena.

Na ikitokea umemjibu mwenzio atachukua mwezi mzima kuja kukujibu ilhali wewe ushasahau!
Kuna siku YourNameIsMine nimemtaja si akaibuka na like...Wengi wapo humu sema hawaibuki tu
 
Back
Top Bottom