Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiwoooo si mekumbuka ukiniita hio nakuwaje!Ndo umeamua kutoa siri zetu?
Thanks a lotkwa kweli!mimi pia!
Mwanza wazima?
among the people mlikuwa vere serious mkiongea habari za mahusiano na ndoa!
UJUZI NA MAARIFA YATAKUWA YAMEONGEZEKA SANA NOW!
bravo buddy!
mi nimekuita ili niwe blanketi lako ujue...Unavyoitika natamani niwe hapo ulipo nikukumbatie ujue...😛🙂abeeee!UKINIITA HIVO napataga baridiiiiiiiiii!
MUULIZE Asprin
ahahahahha ukoje lakin!mi nimekuita ili niwe blanketi lako ujue...Unavyoitika natamani niwe hapo ulipo nikukumbatie ujue...😛🙂
halafu ukiita
Asprin
Usisahahu kuwa Cc:
Sakayo Sky eclat Numbisa
Pia iliNakubananisha ili hao niliowataja wabaki na Asprin wewe uje kwangu si unaonaga huwa wanavyomjali...😛🙂
Leo nitaona maana baada ya kupotea nimepata hamu na wewe vibaya sanaaa...bado unaringamo!
AH MWANAUME ULIKUWA NA MARINGO WEYEEE!
njooo basi hata nikuhug!
wowLeo nitaona maana baada ya kupotea nimepata hamu na wewe vibaya sanaaa...
Hebu sogea haraka maana naweza zimia kwa kukusubiria...
Moi miss this woman!Masai dada
hihihi mweee nihug kwa nyuma aseeee !Leo nitaona maana baada ya kupotea nimepata hamu na wewe vibaya sanaaa...
Hebu sogea haraka maana naweza zimia kwa kukusubiria...
ndio ujue kwake mi namba zote nakaa!