JamiiForums Mchana Kutwa

Sim Card

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2019
Posts
881
Reaction score
1,601
Nimefungua uzi huu kutokana na mihangaiko ya asubuhi pamoja na mishemishe ya siku nzima. Najua wengi tupo makazini tunapitia changamoto za utafutaji kwa hiyo mwenye ishu au jambo linaloweza kumsaidia mtu ataweza kupost ishu.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 3 asubuhi mpaka 12 jioni.
 
Usinisahau

Jr[emoji769]
Wewe nenda kwenye minyuzi ya usiku huko usituletee balaa huku! Mwishowe uje usahau li hirizi hapa watoto waone waikimbie jf hawajazoea mambo hayo!..πŸ˜‚
 
Wewe nenda kwenye minyuzi ya usiku huko usituletee balaa huku! Mwishowe uje usahau li hirizi hapa watoto waone waikimbie jf hawajazoea mambo hayo!..[emoji23]
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
Nafikiri utakuwa umeelewa kinyume na hapo the ban is following youπŸ˜‚
 
Nafikiri utakuwa umeelewa kinyume na hapo the ban is following you[emoji23]
[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji848][emoji848][emoji119][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]
 
Mchana huu mganga kaniambia nisilale kitandani nitafute nguo chakavu nitandike chini nilalie kwa siku 3 ndo ntapata utajiri mweehπŸ€”πŸ€”[emoji102]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…