Sim Card
JF-Expert Member
- Dec 30, 2019
- 881
- 1,601
Nimefungua uzi huu kutokana na mihangaiko ya asubuhi pamoja na mishemishe ya siku nzima. Najua wengi tupo makazini tunapitia changamoto za utafutaji kwa hiyo mwenye ishu au jambo linaloweza kumsaidia mtu ataweza kupost ishu.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 3 asubuhi mpaka 12 jioni.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 3 asubuhi mpaka 12 jioni.