JamiiForums Mchana Kutwa

JamiiForums Mchana Kutwa

Sim Card

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2019
Posts
881
Reaction score
1,601
Nimefungua uzi huu kutokana na mihangaiko ya asubuhi pamoja na mishemishe ya siku nzima. Najua wengi tupo makazini tunapitia changamoto za utafutaji kwa hiyo mwenye ishu au jambo linaloweza kumsaidia mtu ataweza kupost ishu.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 3 asubuhi mpaka 12 jioni.
 
Wewe nenda kwenye minyuzi ya usiku huko usituletee balaa huku! Mwishowe uje usahau li hirizi hapa watoto waone waikimbie jf hawajazoea mambo hayo!..[emoji23]
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Nafikiri utakuwa umeelewa kinyume na hapo the ban is following you[emoji23]
[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji848][emoji848][emoji119][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]
 
Daytime meditation
-1608746115329244918.jpg


Jr[emoji769]
 
Mchana huu mganga kaniambia nisilale kitandani nitafute nguo chakavu nitandike chini nilalie kwa siku 3 ndo ntapata utajiri mweeh🤔🤔[emoji102]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom