Wakuu lengo la kuanzisha uzi huu ni kwaajili ya kuwachana member wa jamii forum,si kwa ubaya tu bali hata kwa mazuri,,,
najua hili jukwaa ni chuo tosha,kwani tunakutana watu kaliba mbalimbali,watu wamekua katika makuzi tofauti tofauti,kuna wazee, vijana hadi kuna watoto humu, hivyo kila mada inayoanzishwa hapa kila mtu hua anachangia kutokana na experience ya kitu, kwa kusikia au kwa kukisoma na wengine kwa kuropoka
Jf kuna wasomi,wa elimu ya kawaida,elimu ndogo pia kuna wajinga,
kuna wenye busara wasio na busara pia kuna wale ambao wanajifanya na busara lakini ni matapeli wa mjini tu> (hawa huwa wanachangia kwa kutaka sifa kwa watu fulanifulani hasa kwa mademu)
kuna wale mabinti wanajiona pisi kali ila ni wawaida tu pia kuna pisikali humu
kuna waliooa na walioolewa pia kuna ambao hawajaoa na hawajaolewa
kuna huyu anaitwa
Extrovert huyu huwa ninamuona ni mtu wa upendo sana pia ni mtu makini,
kuna
Half american raraa reree fatherhood hawa ninawaheshimu sana hatakama hatujuani wakuu
kuna huyu anaitwa
Kipangaspecial huyu jamaa hua akikuta nimecoment mahali lazima anikosoe hatakama nipo fair,pia mimi nikikuta amechangia mahali hua simuachi salama,japokuwa huwa sijawahi kuchukulia personal sijajua kwake yeye,kwangu jf hua ninachukulia ni sehemu ya kujifunza na kupata burudani kupitia akili za watu
kuna hawa
Kelsea Demi dk lizy
Jemima Mrembo Anita Makirita Lenie binti kiziwi nk
hawa wanaonekana wanawake flani wanapenda heshima kwa jinsia Ke pia kwa mafikirio tu watakua warembo pia ni watu wa watu
kuna huyu
To yeye huyu anaonekana anapenda sana mapenzi sijui kwa ground yukoje,,pia ni mchangamfu sio mbaguzi, haringi, japo anakosewa ila sio mtu majibizano halafu sio wa kuchukulia vitu personal hatakama ulimkwaza mahali>kiukweli hua ninavutiwa naye the way anaplay humu Jf
kuna huyu
berylyn huyu ni moja wa watu wangu wa karibu kwa humu Jf
ni mrembo haringi,amesoma, anasauti nzuri
anasifa nyingi sana
kuna hawa
Nakadori cocastic Unique Flower hawa sijui niwaweke kindi gani, wananzengo mtanisaidia kuwaelezea.
Pia kuna malegend
Mshana Jr Nyani Ngabu wa stendi nk hawa wako peace tu
Kuna
dronedrake Liverpool VPN Dakarai kajamaa kadogo nk hawa jamaa huwaambii kitu kuhusu ndoa ila wapo smart upstairs
Kuna
Bufa na dk matola phd hawa watu huwa wanasubiri watu wachangie ili waje kukukosoa,maranyingi huwa hapo sahihi kwenye kukosoa especially dk matola,ila wakati mwingine hua wanapuyanga kwenye ukosoaji wao
kuna Ushimen huyu ni mtu makini sana anapenda masihara si mtu wa kua serious muda wote,akiamua kukoment kiingereza atahakikisha huelewi kama ulisomea st kayumba,ni mtu poa sana huwa ninavutiwa nae the way anaplay jf
kuna hawa
NDINDA Geza Ulole Magonjwa Mtambuka na wengine wengi, hawa jamaa ni wadau wakubwa wa uzi mmoja wa Dar vs Nairobi,
hawa jamaa na wenzie wamewafanya wakenya wapaone dar kama ni sehemu ya ulaya,wameiteka ile battle na wenzie nimewasahau kuna 007,07 etc,huu ni moja ya uzi unaofuatiliwa sana kwa Jf.
pia kuna hawa wa battle za mwanza na miji mingine
Ngokongosha Cha asubuhi intelligent man Ngosha Mashine Mike nk
kuna hawa wazee wa mademu @mzabzab,sipendi kuoga,jack carlos,
Mwachiluwi ERoni na
Mzee wa kupambania japo huyu sahivi ameokoka
najua hata mimi kuna badhii hua wananiona na wameshanisoma tabia yangu,wengine wanafurahishwa wengine wanakereka,,lakini hiyo yote sisi wote ni members wamoja hatupasi kuchukiana,huwezi kuchukia Id fake japo kuna wengine wameweka Id zao halisi,chukulia hii ni sehemu ya kujifunza na kuburudika,japo kuna wengine ni sehemu yao ya kufanyia biashara,
kiukweli wapo wengi ambao ninawaonaga kwenye pitapita zangu jf siwezi kuwataja wote, kila mtu na tabia yake ambazo hupelekea jf kuwa ni sehemu sahihi ya kumalizia bando, pia hata wewe unaweza ukamuelezea hata mmoja tabia yake.
shot out
Nakubusu Antonnia The Boss Tajiri Kichwa Wagumu Tunadumu.
GENTAMYCINE mpwayungu village Tate Mkuu daud_mchambuzi,
UMUGHAKA dk namugari deepond nawengine kibao