JamiiForums members nakuchana

JamiiForums members nakuchana

Sie ambao tunasoma,kucomment na kupita bila hata kujua thread kaanzisha nani tupo kundi gani? Kiufupi tupo JF kwa ajili ya JF,sio migongano na watu,kutafuta umaarufu,attention au mapenzi.
NB: Mtoa mada hata sijasoma we ni nani.
 
kama unasoma bila kuchangia ni vizuri pia kiongozi ndo kujifunza kwenyewe huko,na kuburudika kupitia akili za watu
 
Back
Top Bottom