[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha sí unavunga gari ipo gereji mkuu
Mwenzetu mwenzetu kagongwa kagongwaaaaukhuti ukhuti wa umeme
[emoji445] [emoji444] nyimbo enz zile
Jolie jolie jilan yangu najua fika chumba anacho kaa zen humu huwa anajinad.........Walevi on work
Hahahaha unatangaza vita wewMtu kama mama sabrina najua fika kabisa anawatoto 8 kira mtoto ana baba ake[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
unategemea tukionana katika party itakuwaje [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Unaonaje tukishirikiana na Moderator wa JamiiForums ili iwe rahisi kumobilize na hata kutoa update about all this?Wewe panga safu mi niko tayari iwe kama ya watu 6 hivi
[emoji23] [emoji23] jirani mi na wewe tukikutana kwenye party tuchuniane tuJolie jolie jilan yangu najua fika chumba anacho kaa zen humu huwa anajinad.........
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jilan natania tuuu
Kuna mwana ana ki mazda hapa ukimwachia laki kiroho safi anakuachia siku nzima,,,nitakudhaminiMimi najifanya nina gari halafu gud lyf utanikutanishaje na wadau? Unataka niumbuke? Hujanikamata
[emoji23] [emoji23] jf hakuna asie na gari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hao uliowataja utaenda naoWapendwa wana jf MMU, GTs, PF,
Chit chat na majukwaa yote ya Jf like JLW mnaonage tukaorganize kitu ili ikiwezekana one day tujumuike sehemu fulani na kusherekea pamoja ikiwa ni ishara ya kusupport jitihada kubwa zinazofanya na Jamiiforums under the umbrela of Maxence Melo kwani kubuni kitu alafu kikawahamasisha watu na pesa zao, elimu zao, majina yao na dhiki zao sio kitu cha mchezo.
Ombi langu kama mdau na mkereketwa wa Jf niombe uongozi wa Jf ufikirie hili swala and we are ready to discuss everything about all this!
I will be happy to party together with Nokia83 Mshanajr miss chagga miss confidence @MissNatafuta, Shunie Daby Mama Sabrina brina NAHUJA Shana Chuma Norshad Hajar Davet Mwifwa ukhuty Demiss Joseverest Jolie Jolie to mention few.
Natumai wependwa member wenzangu mtaniunga mkono mawazo yangu.
Mwaaa I love you all!
NB
Hatutatambulishana coz wengi tunatumia ID fake ili wenye nia mbaya na Majukwaa yetu wakwame na kwakuwa tupo kisheria tutakuwa huru kama siku zote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na baada ya party kuna nyuzi zitakuja na kichwa cha habari "nilichokutana nacho kwenye jf party sina hamu nacho"
Hahaaa mweka hazina atatoka jf HQ ili likitokea lolote muwe na pakukimbilia sio ww usiojulikana hahaaaMkihitaji mweka hazina mnijulishe
Siku hiyo gari langu nitaliacha garage kwenye service[emoji23] [emoji23] jf hakuna asie na gari
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Nawakat juz walipo kuja kwako umewaambia eti mi mvivu wa kufua shuka nafua siku nikiwa na apoitment na mwanamke daaaah maisha haya jilan yangu[emoji23] [emoji23] jirani mi na wewe tukikutana kwenye party tuchuniane tu
Dah, ngoja niombe u verified userHahaaa mweka hazina atatoka jf HQ ili likitokea lolote muwe na pakukimbilia sio ww usiojulikana hahaaa
Mama sabrina nimejalibu kukutumia pm kitu naona umeblockJolie jolie jilan yangu najua fika chumba anacho kaa zen humu huwa anajinad.........
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jilan natania tuuu
Hapo red hapo... naweza kuwa miongoni mwa wengi ambao hawajatajwa?I will be happy to party together with Nokia83 Mshanajr miss chagga miss confidence @MissNatafuta, Shunie Daby Mama Sabrina brina NAHUJA Shana Chuma Norshad Hajar Davet Mwifwa ukhuty Demiss Joseverest Jolie Jolie to mention few.