Jamiiforums member's party

Jamiiforums member's party

Wazo zuri sana....kama litafanikiwa naahidi kutoa usafiri wangu wa kwenda na kurudi makutanoni kwa members wote bure
 
Wapendwa wana jf MMU, GTs, PF,
Chit chat na majukwaa yote ya Jf like JLW mnaonage tukaorganize kitu ili ikiwezekana one day tujumuike sehemu fulani na kusherekea pamoja ikiwa ni ishara ya kusupport jitihada kubwa zinazofanya na Jamiiforums under the umbrela of Maxence Melo kwani kubuni kitu alafu kikawahamasisha watu na pesa zao, elimu zao, majina yao na dhiki zao sio kitu cha mchezo.

Ombi langu kama mdau na mkereketwa wa Jf niombe uongozi wa Jf ufikirie hili swala and we are ready to discuss everything about all this!

I will be happy to party together with Nokia83 Mshanajr miss chagga miss confidence @MissNatafuta, Shunie Daby Mama Sabrina brina NAHUJA Shana Chuma Norshad Hajar Davet Mwifwa ukhuty Demiss Joseverest Jolie Jolie to mention few.

Natumai wependwa member wenzangu mtaniunga mkono mawazo yangu.
Mwaaa I love you all!

NB
Hatutatambulishana coz wengi tunatumia ID fake ili wenye nia mbaya na Majukwaa yetu wakwame na kwakuwa tupo kisheria tutakuwa huru kama siku zote.
Hao uliowataja utaenda nao
 
[emoji23] [emoji23] jirani mi na wewe tukikutana kwenye party tuchuniane tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Nawakat juz walipo kuja kwako umewaambia eti mi mvivu wa kufua shuka nafua siku nikiwa na apoitment na mwanamke daaaah maisha haya jilan yangu
 
Back
Top Bottom