Miss Curious
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 315
- 497
- Thread starter
- #201
Unajulikana mkuuu isiwe hujulikani ukatupeleka kusikojulikana hahaaaa but all in all you are already noted into the diary so wanakamati wakikupm usianze kugeuka simbaaaaaWazo zuri sana....kama litafanikiwa naahidi kutoa usafiri wangu wa kwenda na kurudi makutanoni kwa members wote bure