Miss Curious
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 315
- 497
- Thread starter
-
- #201
Unajulikana mkuuu isiwe hujulikani ukatupeleka kusikojulikana hahaaaa but all in all you are already noted into the diary so wanakamati wakikupm usianze kugeuka simbaaaaaWazo zuri sana....kama litafanikiwa naahidi kutoa usafiri wangu wa kwenda na kurudi makutanoni kwa members wote bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku hiyo gari langu nitaliacha garage kwenye service
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] jirani mengine sio ya kusema[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Nawakat juz walipo kuja kwako umewaambia eti mi mvivu wa kufua shuka nafua siku nikiwa na apoitment na mwanamke daaaah maisha haya jilan yangu
Ewaaaa... ngoja nikafanye shopping ya viwalo vya kutokelezea...
Hapo red hapo... naweza kuwa miongoni mwa wengi ambao hawajatajwa?
Shost nmekusahau ngoja nikutag kabisa
umepotea sana wenzio juzi tulikuwa na part nitakutumia picha mdog wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabiiisa, unapanda daladala hakuna lift ya mtu badala ya kupanda daladala moja una panda tatu na mwisho inamalizia na Bodaboda kuhakikisha usalama wakoSiku hiyo gari langu nitaliacha garage kwenye service
Niko napambana na Afya za Watanzania hukuumepotea sana wenzio juzi tulikuwa na part nitakutumia picha mdog wangu
Poa shost kuwa organiser ni kazi ngumu. Nimejialika na ukoo wanguShost nmekusahau ngoja nikutag kabisa
Hapo red umenikosea heshima... mimi ni Babu.Kwanza let me add you napenda post zako ile hatareee we mkaka umeoa lakin hahaa Im Kidding
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kabiiisa, unapanda daladala hakuna lift ya mtu badala ya kupanda daladala moja una panda tatu na mwisho inamalizia na Bodaboda kuhakikisha usalama wako
Inshaalah!My lovely family member, nikirejea lazima niwatafute
Huyo ni mzee anakuzaa[emoji23] [emoji23]Kwanza let me add you napenda post zako ile hatareee we mkaka umeoa lakin hahaa Im Kidding
Hahahaaaa. Nimecheka sana Pacha lol.Salama kabisa pacha..
Nimetoka kuparangana.... in your Voice
Haaaa haaaa
yaani wewe tu ndo ulikosekana familia ilinoga mnoo yaaniNiko napambana na Afya za Watanzania huku
Nikirudi lazima niwatafute piayaani wewe tu ndo ulikosekana familia ilinoga mnoo yaani