Jamiiforums member's party

Jamiiforums member's party

Wazo zuri sana....kama litafanikiwa naahidi kutoa usafiri wangu wa kwenda na kurudi makutanoni kwa members wote bure
Unajulikana mkuuu isiwe hujulikani ukatupeleka kusikojulikana hahaaaa but all in all you are already noted into the diary so wanakamati wakikupm usianze kugeuka simbaaaaa
 
Bonge la idea!

Ila ujue2 mtakapokutana lazima muwekwe chin ya ulinzi.

Kwan hamjui taarifa za watu waliopo JF zinatafutwa kila kukicha??

Jionyeshen kua nyie ndo hua mnacomment kuponda mkulu muone kipigo cha mbwa koko!
 
Kwanza let me add you napenda post zako ile hatareee we mkaka umeoa lakin hahaa Im Kidding
Hapo red umenikosea heshima... mimi ni Babu.

Ndio nimemuoa Sky Eclat ambaye ameniletea Sakayo nichepuke naye siku anapokuwa amechoka...

Unaweza kumwomba ruhusa kama atakubali tubadili dini ili nikuoe na wewe...
 
Kabiiisa, unapanda daladala hakuna lift ya mtu badala ya kupanda daladala moja una panda tatu na mwisho inamalizia na Bodaboda kuhakikisha usalama wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom