Mbona hiyo sentence ya mwanzo imejaa hofu na kutokuaminiana...Unajulikana mkuuu isiwe hujulikani ukatupeleka kusikojulikana hahaaaa bit all in all you are already not into the diary so wanakamati wakikupm usianze kugeuka simbaaaaa
Siwez taja wote but ngoja nikutaje then nione mchango wakoKwakuwa sijutajwa siungi mkono hoja
Sio mkaka ni babu uyoKwanza let me add you napenda post zako ile hatareee we mkaka umeoa lakin hahaa Im Kidding
haahaha yaan ulimiss wew tu muulize hajar na davet wakwambieNikirudi lazima niwatafute pia
Umeamua kuanza kuniharibia sio?Huyo ni mzee anakuzaa[emoji23] [emoji23]
Sasa nani atakukula siku hiyo! Mimi mahondaw akija na Smart911 wake namuwekea nganda katika kinywaji chake azime niondoke na kimwana. Aidha siku hiyo Mama Sabrina nakufungia chumbani kwakoWapendwa wana jf MMU, GTs, PF,
Chit chat na majukwaa yote ya Jf like JLW mnaonage tukaorganize kitu ili ikiwezekana one day tujumuike sehemu fulani na kusherekea pamoja ikiwa ni ishara ya kusupport jitihada kubwa zinazofanya na Jamiiforums under the umbrela of Maxence Melo kwani kubuni kitu alafu kikawahamasisha watu na pesa zao, elimu zao, majina yao na dhiki zao sio kitu cha mchezo.
Ombi langu kama mdau na mkereketwa wa Jf niombe uongozi wa Jf ufikirie hili swala and we are ready to discuss everything about all this!
I will be happy to party together with Nokia83 Mshanajr miss chagga miss confidence @MissNatafuta, Shunie Daby Mama Sabrina brina NAHUJA Shana Chuma Norshad Hajar Davet Mwifwa ukhuty Demiss Joseverest Jolie Jolie Asprin Sky Eclat to mention few.
Natumai wependwa member wenzangu mtaniunga mkono mawazo yangu.
Mwaaa I love you all!
NB
Hatutatambulishana coz wengi tunatumia ID fake ili wenye nia mbaya na Majukwaa yetu wakwame na kwakuwa tupo kisheria tutakuwa huru kama siku zote.
Dada kasema kule mwanzoni alipocommenthaahaha yaan ulimiss wew tu muulize hajar na davet wakwambie
[emoji23] [emoji23] mimi si namwambia ili ajipangeUmeamua kuanza kuniharibia sio?
Kwani Reginald Mengi amemwoa nani?
Naona mmeamua kuniharibia bahati yangu...Sio mkaka ni babu uyo
Kumzaa kwani issue ni uzee au saiziHuyo ni mzee anakuzaa[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] mimi si namwambia ili ajipange
Hahaha msamehe tu huyo mke wangu...unataka kumdanganya na ashikilimu we mzee hufaiNaona mmeamua kuniharibia bahati yangu...
Ntamwachia shetani asemezane nanyi...
Kwenye party sitakupa ashkilimu...
Hakika umesamehewa dhambi zako zote za jana, leo na kesho.Kumzaa kwani issue ni uzee au saizi
Huko mbali...mazda tu fresh,hata ile njia pendwa unatunukiwa tuAjipange kuendesha BMW au Prado?
Basi ntamtwanga balimi sita za baridi...Hahaha msamehe tu huyo mke wangu...unataka kumdanganya na ashikilimu we mzee hufai
Yaani unazungumzia "kukosea" bila shuruti?Huko mbali...mazda tu fresh,hata ile njia pendwa unatunukiwa tu
Jilan mambo mengine unayo nifanyia yanauma jilan[emoji23] jirani mengine sio ya kusema
Ndio ndio kiongoziYaani unazungumzia "kukosea" bila shuruti?