Jamiiforums member's party

Jamiiforums member's party

Unajulikana mkuuu isiwe hujulikani ukatupeleka kusikojulikana hahaaaa bit all in all you are already not into the diary so wanakamati wakikupm usianze kugeuka simbaaaaa
Mbona hiyo sentence ya mwanzo imejaa hofu na kutokuaminiana...
 
Wapendwa wana jf MMU, GTs, PF,
Chit chat na majukwaa yote ya Jf like JLW mnaonage tukaorganize kitu ili ikiwezekana one day tujumuike sehemu fulani na kusherekea pamoja ikiwa ni ishara ya kusupport jitihada kubwa zinazofanya na Jamiiforums under the umbrela of Maxence Melo kwani kubuni kitu alafu kikawahamasisha watu na pesa zao, elimu zao, majina yao na dhiki zao sio kitu cha mchezo.

Ombi langu kama mdau na mkereketwa wa Jf niombe uongozi wa Jf ufikirie hili swala and we are ready to discuss everything about all this!

I will be happy to party together with Nokia83 Mshanajr miss chagga miss confidence @MissNatafuta, Shunie Daby Mama Sabrina brina NAHUJA Shana Chuma Norshad Hajar Davet Mwifwa ukhuty Demiss Joseverest Jolie Jolie Asprin Sky Eclat to mention few.

Natumai wependwa member wenzangu mtaniunga mkono mawazo yangu.
Mwaaa I love you all!

NB
Hatutatambulishana coz wengi tunatumia ID fake ili wenye nia mbaya na Majukwaa yetu wakwame na kwakuwa tupo kisheria tutakuwa huru kama siku zote.
Sasa nani atakukula siku hiyo! Mimi mahondaw akija na Smart911 wake namuwekea nganda katika kinywaji chake azime niondoke na kimwana. Aidha siku hiyo Mama Sabrina nakufungia chumbani kwako
 
Tukiwa kwa party hakuna kujua ID zetu, ila mimi ntataka kumjua Jje,s, na Shunie tu
 
Back
Top Bottom