Kabisa yaniwasiojulikana nao watakuwepo?
Simba mkali ila hujifungua tuShika adabu yako ikushike na mshikamane wewe na adabu yako [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] Yes Smart911 love am here just for you.. Anything you need my king... Shoo Ndumilakuwili huyu anang'ata na kupuliza. Wee muone kama mtu tu ni chui anaejifanya kondoo tatizo nikwamba mimi huwa sisahau kirahisi that's the problem.. Ni mwana kamati mmoja mzuri sana tena Ile kamati kuu....asione tu namjibu jibu akadhani nimesahau.
Hii id ya "Cacico" ilipotea kabisaIlifana moja tu pale Kebby’s hotel!Enzi kina Cacico na wengineo!
Ngoja tuone hii itakuwaje
Umesahau jukwaa la wakubwa.... piaWapendwa wana jf MMU, GTs, PF,
Chit chat na majukwaa yote ya Jf like JLW mnaonage tukaorganize kitu ili ikiwezekana one day tujumuike sehemu fulani na kusherekea pamoja ikiwa ni ishara ya kusupport jitihada kubwa zinazofanya na Jamiiforums under the umbrela of Maxence Melo kwani kubuni kitu alafu kikawahamasisha watu na pesa zao, elimu zao, majina yao na dhiki zao sio kitu cha mchezo.
Ombi langu kama mdau na mkereketwa wa Jf niombe uongozi wa Jf ufikirie hili swala and we are ready to discuss everything about all this!
I will be happy to party together with Nokia83 Mshanajr miss chagga miss confidence @MissNatafuta, Shunie Daby Mama Sabrina brina NAHUJA Shana Chuma Norshad Hajar Davet Mwifwa ukhuty Demiss Joseverest Jolie Jolie Asprin Sky Eclat kawoli to mention few.
Natumai wependwa member wenzangu mtaniunga mkono mawazo yangu.
Mwaaa I love you all!
NB
Hatutatambulishana coz wengi tunatumia ID fake ili wenye nia mbaya na Majukwaa yetu wakwame na kwakuwa tupo kisheria tutakuwa huru kama siku zote.
Hahahaaaaa. Mwambie alivyopitwa.umepotea sana wenzio juzi tulikuwa na part nitakutumia picha mdog wangu
wakose? Nani kakwambiawasiojulikana nao watakuwepo?
Ilitokea nikawepo, nitaungana na wewe katika kukagua Chura tuu!Mimi nitakuja kukagua chura tuu![emoji4][emoji4][emoji4]
Mmh.Mmh nikutane na nani humu ngoja niendelee kuwaza
Si wanadanganyika na picha/avartar ya kuazima.Tatizo wanaume wa jf wanadhanigi wanawake wa humu wanatoka sayari ya mars wazuri kama malaika
[emoji23][emoji23][emoji23]Ilitokea nikawepo, nitaungana na wewe katika kukagua Chura tuu!
Ila wewe bila kunitaja husikii raha kabiss daahSasa nani atakukula siku hiyo! Mimi mahondaw akija na Smart911 wake namuwekea nganda katika kinywaji chake azime niondoke na kimwana. Aidha siku hiyo Mama Sabrina nakufungia chumbani kwako
Ni jini mkata mkamba nadhani kajiunga jf kuvuruga vuruga tu ,huoni mi kila saa ananitaja kila uzi kila sehemu ,ni wa kumuacha tuShika adabu yako ikushike na mshikamane wewe na adabu yako [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] Yes Smart911 love am here just for you.. Anything you need my king... Shoo Ndumilakuwili huyu anang'ata na kupuliza. Wee muone kama mtu tu ni chui anaejifanya kondoo tatizo nikwamba mimi huwa sisahau kirahisi that's the problem.. Ni mwana kamati mmoja mzuri sana tena Ile kamati kuu....asione tu namjibu jibu akadhani nimesahau.
TutakujaaUngeweka kapicha kako kwanza tuone tutakuta mtoto wa aina gani..
Ibtw kam Mzigua90 na Mama Sabrina watakuja na mimi nitakuwepo.
Hawa wote ni visuuu