Tz the Next Congo
Senior Member
- Feb 27, 2017
- 172
- 121
Ashachelewa uzuri my twin brother loves u a lot bebe!
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] ashachelewa sasa!!Mr G yulee!!Yaan bina ananitaja huyu kaka nadhani ananipenda mnoo mnoooooooo
Ameeenn!!!
Umenitisha kwakweliHahahaaaa. Hadi nimeona aibu mdogo wangu. [emoji85] .
Usijali wewe huwa una nafasi ya kipekee kwa dada yako na hujawahi kuwa na mipaka hivyo ni kiasi cha kukaa na kupanga tu basi.
Ondoa shaka mdogo wangu.
Ukweli kabisa umesema dadaJamii Forum ya sasa watu wanaogopa kukutana sio sababu ya watu wasiojulikana la hasha ni vile mikogo na majivuno wanayoyatoa kwenye comments lakini kiuhalisia ni masikitiko.
Mtu unayejiamini huwezi kuogopa kukutana na watu ambao mpo mnapiga story humu mbaya zaidi mpo Nchi moja na pengine mji mmoja.
"Ni mtazamo wangu lakini, no Hard feelings"
LoL.
Hahahaha dada ake huo ndio ukweli mchungu lakini.Mmh. Mdogo wangu.
Haya ni zadi ya makavu ujue. Teh teh.
Nashukuru na wewe umeliona hilo bibie.Ukweli kabisa umesema dada
Tusishangaane sana tukionana ndo tulivyo in reality [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahaha... Usitake watu tukimbiane tehteh...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Wengine Make ups zinatubeba lol
Cc Smart911
Mwache avuruge atachoka[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] ashachelewa sasa!!Mr G yulee!!
Lini ?
Ameishiwa hojaa!!!Mwache avuruge atachoka
Pm jamani yako imefungwa yangu nimefunga tunapatanaje
[emoji144] patiently waitingEndelea kutembelea uzi huu kwa updates
Nitajie mbili mpendwa nizipunguzeeMkuu hzo idiii zote ulizoandika kuna multiple id's kama tano hv, so mtakutana kama watatu hv
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamn mdogo wangu nipo busy na jambo fulani nikilimaliza tu nitahudhuria kama kawaida usijaliKwakweli ratiba zako sasa hivi sio siri hazieleweki ndugu yetu...
Hahahaaa. Pole sana mdogo wake Hajar.Umenitisha kwakweli
Hahahaaaa. Umeonaeeeee.Hahahaha dada ake huo ndio ukweli mchungu lakini.
[emoji23] [emoji23]