Jamiiforums member's party

Walivyokuwa wakitoka kwenye party wanaanza kusemana huyu alikuja ananuka kwapa,huyu vile huyu viatu vimeishaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara ka fulan kabaya kwelii
ni wazo zuri mpenzi lakin watu huwa wanakuja kuchunguzana tu wengine sie maskini kweli mtatuzodoa na minguo yetu iliyofubaa
Na tunavyochamba humu jf heeeeee
 
Hahaha
 
Na baada ya party kuna nyuzi zitakuja na kichwa cha habari "nilichokutana nacho kwenye jf party sina hamu nacho"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…