Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe la wiki hahaaaaHapo kwenye JLW unamaanisha(Jiwe La Waashi) au nini mkuu?
Hahah aisee nimecheka sana,hahahJiwe la wiki hahaaaa
Una shida we shemeji angu[emoji23] [emoji23]hao uliowataja ndo ujumuike nao maana mpo karibu,
au unaonaje?
[emoji16]
Wewe ndiye mleta mada ? Duuu lugha gongana hii mnaoenda huko chondechondeSiwezi kuwataja members wote jf mniwie radhi nyie mnaonung'unika eti hao niliowataja ndio niwe nao tu jamani this is not mine but should of all of us
Ni ktk kueleweshana mkuuWewe ndiye mleta mada ? Duuu lugha gongana hii mnaoenda huko chondechonde
Kwann mpenz?Mleta uzi una bf humu?!
Nataka kujua tu...ili nianze kupanga mipango yangu vzr nawwKwann mpenz?
Noted on the diary so mwisho wa siku sio tunakutafuta unaingia mitini!.TUKUTANE MCHANGO WANGU NI KRETI 40 ZA BIA.
Sina beef na yeyote dia fungukaaaaNataka kujua tu...ili nianze kupanga mipango yangu vzr naww
Ah kwani umewahi sikia mi maarufu wa kuishia mitini. andaa ndio utaona kitu ila members wengi wahudhurie isiwe tunajikuta watu 3 tutazipeleka wapiNoted on the diary so mwisho wa siku sio tunakutafuta unaingia mitini!.
Mimi nataka nkuoeSina beef na yeyote dia fungukaaaa
HahahahaKwa jumuiya hii ya JF iliyojaa utoto huu, sahau.
Pacha kwenye party naomba mwaliko tafadhali
[emoji23] [emoji23] si tunamfikiria bado huyoUna shida we shemeji angu[emoji23] [emoji23]
HahahaWalivyokuwa wakitoka kwenye party wanaanza kusemana huyu alikuja ananuka kwapa,huyu vile huyu viatu vimeishaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara ka fulan kabaya kwelii
ni wazo zuri mpenzi lakin watu huwa wanakuja kuchunguzana tu wengine sie maskini kweli mtatuzodoa na minguo yetu iliyofubaa
Na tunavyochamba humu jf heeeeee
Na baada ya party kuna nyuzi zitakuja na kichwa cha habari "nilichokutana nacho kwenye jf party sina hamu nacho"Walivyokuwa wakitoka kwenye party wanaanza kusemana huyu alikuja ananuka kwapa,huyu vile huyu viatu vimeishaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara ka fulan kabaya kwelii
ni wazo zuri mpenzi lakin watu huwa wanakuja kuchunguzana tu wengine sie maskini kweli mtatuzodoa na minguo yetu iliyofubaa
Na tunavyochamba humu jf heeeeee