1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
mmmmmh,Bia uje nazo home na mi nina tumbo bby
Pamoja chiefKabisa kabisa,,,tutakuja kupanga moja humu,si unajua walev hatuna makuu hata chini ya mti viti vinawekwa vyombo vinagongwa kama kawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usinikumbushe ujue
Hamna utambulisho kule...yan nakuona mkuu lakin sijui kama wew ndio ambiele ila naweza kujua jina lako halisiTukionana sura zetu tayar tutakuwa tumeshajuana majina yetu halis kitu ambacho watu wengi wanaogopa kuhalibiwa cv zao
Waiter zungusha tenaKabisa kabisa,,,tutakuja kupanga moja humu,si unajua walev hatuna makuu hata chini ya mti viti vinawekwa vyombo vinagongwa kama kawa
hahaha jamani hata kunipigia simu nikaja fastMtuambie na dress code kabisa sasa
Ikisha wekwa ki official official ndio huwa ngumu,complications nyingiPamoja chief
Kwa hiyo bora ya kimya kimya.Ikisha wekwa ki official official ndio huwa ngumu,complications nyingi
Humu kila mmoja yupo married haya bhana kikubwa company yenu inahitajika wapendwaaShooga na mme tayari hiyo nafasi itapendeza walio single
YaahKwa hiyo bora ya kimya kimya.
Ah ah ah ah ah Bwaa Shemeji Hatujaelewana hapaHamna utambulisho kule...yan nakuona mkuu lakin sijui kama wew ndio ambiele ila naweza kujua jina lako halisi
HahahaAh ah ah ah ah Bwaa Shemeji Hatujaelewana hapa
Yan kuna uwezekano jf ukawa unatumia jina lingine kabisa ila mtaan nakujua kwa jina lingine na huwa tunaonan siku ya party tukionana ndio mwanzo wa kuhalibiana cv trust mim Bwaa shemeji
Wakati fulani niliwahi kukutana live na wana jf kama 20 hivi lakini hadi leo sjaweza kutambua Id zao za jf.Ah ah ah ah ah Bwaa Shemeji Hatujaelewana hapa
Yan kuna uwezekano jf ukawa unatumia jina lingine kabisa ila mtaan nakujua kwa jina lingine na huwa tunaonan siku ya party tukionana ndio mwanzo wa kuhalibiana cv trust mim Bwaa shemeji
Naomba uwe mwana kamati mwenzangu unaonaje?
FreshYaah
Walevi on workKabisa kabisa,,,tutakuja kupanga moja humu,si unajua walev hatuna makuu hata chini ya mti viti vinawekwa vyombo vinagongwa kama kawa
Mtu kama ........ najua fika kabisa anawatoto 8 kira mtoto ana baba ake[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahaha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] raha sana jfWakati fulani niliwahi kukutana live na wana jf kama 20 hivi lakini hadi leo sjaweza kutambua Id zao za jf.
Bby ataclear[emoji23] lipia kadi kwanza,