Jamiiforums member's party

Jamiiforums member's party

Hahaaa. Ilishawezekana tukakutana watu wanne kwa wakati mmoja naona inatosha ila rundo la watu. Hapana aiseee.

Sababu jf ya sasa sio ile ya zamani na hilo linajulikana.

Davet, ukhuty na Mwifwa wanatosha kwa upande wangu sababu tukikutana kwetu huwa ni zaidi ya Party.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usinikumbushe ujue
 
Hamna utambulisho kule...yan nakuona mkuu lakin sijui kama wew ndio ambiele ila naweza kujua jina lako halisi
Ah ah ah ah ah Bwaa Shemeji Hatujaelewana hapa

Yan kuna uwezekano jf ukawa unatumia jina lingine kabisa ila mtaan nakujua kwa jina lingine na huwa tunaonan siku ya party tukionana ndio mwanzo wa kuhalibiana cv trust mim Bwaa shemeji
 
Wakati fulani niliwahi kukutana live na wana jf kama 20 hivi lakini hadi leo sjaweza kutambua Id zao za jf.
 
Back
Top Bottom