Jamiiforums member's party

Jamiiforums member's party

Hatutatambulishana coz wengi tunatumia ID fake ili wenye nia mbaya na Majukwaa yetu wakwame na kwakuwa tupo kisheria tutakuwa huru kama siku zote.
Hili ni wazo zuri sana, ili mradi tu watu tusitambulishane majina yetu wala ID's zetu tunazozitumia humu JF. Mkiweza tuambiane ni wapi party hiyo itafanyika na jinsi ya kuchangia gharama.

Nimependa wazo lako Miss Curious
 
Thanks very much honey!
Napenda positive mind kama hizi, ngoja tupate maone alafu at the end nitatoa mrejesho of what I have learnt.
 
Yaani kwenye utambulisho unataja jina lako kabisa sio naiman64 utambulisho unaishia hapo hakuna Cha naishi, nafanyakazi hakuna tukitoka hapo kila mmoja kivyake [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahah aisee kwa staili hiyo wameshanikosa mkuu bado nazipenda Kucha zangu,meno na mbupu zangu mkuu,hahah
 
Back
Top Bottom