Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaaa. Usijali mumy we ukiwa kuwa tayari tutafutane peke yetu.Usiseme hivyo swetiee alatu nmekusaha while nakufatilia sana post zako
Hayo ya Party mie hapana aiseee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa. Usijali mumy we ukiwa kuwa tayari tutafutane peke yetu.Usiseme hivyo swetiee alatu nmekusaha while nakufatilia sana post zako
Vipensi tu mkuu kwa woteMtuambie na dress code kabisa sasa
Usiniangushe mpenziiiHahaaaa. Usijali mumy we ukiwa kuwa tayari tutafutane peke yetu.
Hayo ya Party mie hapana aiseee.
Akaaaaaa. Mie hapana.Kwani hautakuwepo?
Propose your favourite time to get out switieeAkaaaaaa. Mie hapana.
Kwanza unanijua nilivyo mvivu na pia inategemea hiyo mida ya Party kama ni usiku na nilivyo chausingizi najiona sitaweza kabisaaaaa.
Hahah! Balimi zitakuepo sasa?Vipensi tu mkuu kwa wote
Hili ni wazo zuri sana, ili mradi tu watu tusitambulishane majina yetu wala ID's zetu tunazozitumia humu JF. Mkiweza tuambiane ni wapi party hiyo itafanyika na jinsi ya kuchangia gharama.Hatutatambulishana coz wengi tunatumia ID fake ili wenye nia mbaya na Majukwaa yetu wakwame na kwakuwa tupo kisheria tutakuwa huru kama siku zote.
Hahah!! Kweli utasinzia kwenye party wewe unipe kazi ya kukurudisha nyumbaniAkaaaaaa. Mie hapana.
Kwanza unanijua nilivyo mvivu na pia inategemea hiyo mida ya Party kama ni usiku na nilivyo chausingizi najiona sitaweza kabisaaaaa.
Amna mzee maana ukizubaa tu unaangukia mikononi mwa jiweHahah! Balimi zitakuepo sasa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaaa acha woga mtoto wa kiume weweee
Yaani kwenye utambulisho unataja jina lako kabisa sio naiman64 utambulisho unaishia hapo hakuna Cha naishi, nafanyakazi hakuna tukitoka hapo kila mmoja kivyake [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nawaaangalia tu afu nasema hiiiiiiiiiiiiiii,wasiojulikuna watakuwepo kwny party hio.
[emoji23][emoji23] Jiwe na mimi mtu wa JLW wapi na wapi mkuu?Amna mzee maana ukizubaa tu unaangukia mikononi mwa jiwe
Hili ni wazo zuri sana, ili mradi tu watu tusitambulishane majina yetu wala ID's zetu tunazozitumia humu JF. Mkiweza tuambiane ni wapi party hiyo itafanyika na jinsi ya kuchangia gharama.
Nimependa wazo lako Miss Curious
Eeeh ili tujipange waseme tusije kuvuruga partyMtuambie na dress code kabisa sasa
Hahah aisee kwa staili hiyo wameshanikosa mkuu bado nazipenda Kucha zangu,meno na mbupu zangu mkuu,hahahYaani kwenye utambulisho unataja jina lako kabisa sio naiman64 utambulisho unaishia hapo hakuna Cha naishi, nafanyakazi hakuna tukitoka hapo kila mmoja kivyake [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahaaa. Nimemuona tu nina imani mtakwenda sambamba. [emoji12][emoji23][emoji23] Kurlzawa utamuweza sasa kwanza umefatilia avatar yake?