Jamiiforums member's party

Jamiiforums member's party

Mi ntakuja na noah nyeusi na wanajamii wenzangu tukiwa tumependeza na suti safi nyeusi na miwani km ya jua tujumuike wote [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jamii Forum ya sasa watu wanaogopa kukutana sio sababu ya watu wasiojulikana la hasha ni vile mikogo na majivuno wanayoyatoa kwenye comments lakini kiuhalisia ni masikitiko.

Mtu unayejiamini huwezi kuogopa kukutana na watu ambao mpo mnapiga story humu mbaya zaidi mpo Nchi moja na pengine mji mmoja.

"Ni mtazamo wangu lakini, no Hard feelings"
LoL.
Ukweli kabisa umesema dada
 
Hahahahaha... Usitake watu tukimbiane tehteh...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Wengine Make ups zinatubeba lol


Cc Smart911
Tusishangaane sana tukionana ndo tulivyo in reality [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom