Mzee wa Torano
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 519
- 700
Kigali mnakutana wapi? Hv cardilac ,KBC bado zipo?Wa KIGALI na nyinyi mjiandae tukutane jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigali mnakutana wapi? Hv cardilac ,KBC bado zipo?Wa KIGALI na nyinyi mjiandae tukutane jaman
HapanaKigali mnakutana wapi? Hv cardilac ,KBC bado zipo?
OK, nazikumbuka hz tu na K clubHapana
Asee Mungu akijaalia nitapita siku mojaZilikua hatari aisee,kigali kunabadilika kila siku
Karibu sana mkuuAsee Mungu akijaalia nitapita siku moja
Endelea kupitia uzi huu mpenz kwa update zaidiVenue wapi?
Hii id ya "Cacico" ilipotea kabisa
Pia "Mwaj"
Asante kwa taarifa mkuuYupo ila ana maisha mengine kidogo!!
Hayupo tena JF
Mwana nenda mwana,......watu wanataka kuonana na wewe...Kweli hakuna jipya chini ya Jua!
Hivi hiki kitu si kilifanyika 2012 o 2014!?..Mwana nenda mwana,......watu wanataka kuonana na wewe...
Hahahaaa. Nataka ila kwa watu wachache.Hutaki tukuone Hajar?
Mkuu hata sijawahi kujuaHivi hiki kitu si kilifanyika 2012 o 2014!?..
Chukua bodaboda tupande mishikaki.Ntakuja na daladala maana hata bodaboda sinaa!!!
Hahaaa haina problem!!Chukua bodaboda tupande mishikaki.